oparanya-radio-jambo

Kakamega Governor Wycliffe Oparanya was today October 18 hosted by Gidi and Ghost in studio.

The governor was in studio to talk about what he has done to develop the county, and also answer questions from listeners about their concerns on how funds are spent, the pace of development projects among other topics.

He delved into how his county has established bursaries to benefit the poor, employment of teachers at all educational levels, expanding health facilities, and ensuring farmers have access to cheap fertilizer.

He also spoke extensively about his vision for sugar cane farmers.

He said; 'Kama kaunti tulikuwa na mpango wa kusaidia wakulima wa miwa, lakini kufikia wakati huu serikali kuu bado haija timiza malengo yetu….tunataka tuwe na sheria ya kufufua sekta ya miwa. Wiki ijao tutakuwa na mkutano ya kuongoza sisi kama kaunti kuingilia mambo ya miwa.

'Tunataka sisi kama kaunti tuwe na shares Mumias, na sheria nyinginezo za kutuwezesha kama kaunti kuingilia maswala ya miwa'.

The controversial Governor was asked by Gidi; Nimeona Boni Khalwale ambaye ni Seneta wako amejitokeza anataka kiti chako, ambacho ni cha governor. Je, utaweza kupambana naye vilivyo? Ama iko vipi mheshimiwa?

Oparanyan responded by saying; 'Mimi nimetekeleza kazi yangu vizuri, kabisa . Eh, niko tayari sana kupambana na yeye kwanzia sasa kufikia wakati tutapiga kura.Yeye ambaye ni seneta wetu, kitu ameonelea ana wivu, kwanza alienda kwa senate akifikiria senate ndio tuko na matumaini, ndio tuko na nyama huko. lakini ameonelea nyama iko kwa governor, ndio yeye sasa anaanza kurudi.

Gidi asked the Governor; Nimesikia kwamba  unataka direct nomination. kwa nini hutaki kupambana na wenzako ili uweze kupata tiketi?

Oparanya; 'Sijasema hivyo. mimi niko tayari kufanya joint nomination. tumesema kama CORD sisi ODM tunataka tufanye joint nomination, khalwale akitaka kuwa candidate wa governor yeye kwa sababu ford k iko ndani ya cord aje na joint nomination na mimi tupate mtu mmoja ambaye tuta pambana na jubilee.

Gidi; Muungano wa western, je wewe ni mmoja wao ambao wanataka western iwe pamoja ama uko kivyako?

Oparanya; Kama mluhyia vile iko saa hii, wengi wetu western tuko pamoja. tungependa kura zetu ziwe kikapu kimoja. 

Skiza kanda ifuatayo akiwasiliana na Gidi na Ghost asubuhi;

&feature=youtu.be