01 December 2016 1 Min Read
VIHIGA: Kaunti ya Vihiga imeorodheshwa ya tatu nchini kwenye visa vya ubakaji
by Maureen Waruinge Habari
- index
- ghgin1ps6yzwn5724a0435cdf5
Kaunti ya vihiga imeorodheshwa ya tatu nchini kwenye visa vya ubakaji .
Akiyasema haya kwenye mahojiano Na wanahabari,gavana wa kaunti hiyo Bwana Moses Akaranga ameelezea kusikitika kwake Na takrim hizo huku akisema kuwa nafasi hiyo imetoa picha mbaya licha sufa nzuri zinazolimbikiziwa kaunti hiyo.
Aidha akaranga amewahalishia wenyeji wa maeneo ya mimias kuwa watashirikiana Na Gavana Oparanya ilkuona kuwa waathiriwa wamepata haki.