Mwaka huu siandiki quotes..nyinyi ndio mtaniambia quotes za kuandika kila siku.inbox me your best quotes.ziwe na mafunzo alafu tuziweke hapa kila siku mwaka mzima wa 2017 ! Pia kuna signs this will be a serious year. Tuangushe hiyo hofu kwa kushare the best funny experiences na jokes fresh.watu wengi wanataka kupewa tabasamu...lets make it happen.