27 February 2017 1 Min Read
Ukistaajabu Ya Musa, Mbuzi Azaa Kimeme Kilicho Na Sura Ya Binadamu Kitui
by Yusuf Juma Habari
- Goat/COURTESY
- goat
Wakaazi wa kijiji cha Kangenge huko Kituo wameamkia mshangao leo baada ya mbuzi kuzaa kimeme chenye sehemu mbili; moja ya mbuzi na nyingine inayofanana na binadamu.
Wenyeji wamefurika katika kijiji hicho kushuhudia tukio hilo la kiajabu huku uvumi ukizagaa kuhusu chanzo chanzo cha tukio hilo.
Baadhi wanadai kwamba huenda binadami alishiriki ngono na mbuzi huku wengine wakisema ni ishara ya ulimwenu kukaribia kufika tamati.