20 March 2017 1 Min Read
Rigathi Gachagua ajiondoa kutoka kinyang'anyiro cha ugavana Nyeri
by Yusuf Juma Habari
Rigathi Gachagua, kakake marehemu gavana wa nyeri Nderitu Gachagua amejiondoa kutoka kinyng’anyiro cha kiti cha ugavana mwezi agosti.
Rigathi hata hivyo amesema atautumia mtandao wake wa kisiasa kumsaka na kumwunga mkono mgombeaji bora wa kiti hicho.