Jamaa mmoja alipigia watangazaji wa Radio Jambo simu katika kitengo cha Nyahunyo akilalamikia tukio moja ambapo jamaa alimnajisi mwanawe wa kambo, na isitoshe kumharibia maisha yake kwa kumuambukiza maradhi ya ukimwi.

Kulingana na jamaa huyo kwa jina Eric almaarufu 'Marende' mshukiwa huyo kwa jina George Ngao Abundo alimnyemelea bintiye wa kambo akiwa ameelekea msalani, na kumnajisi huku mkewe akiwa nyumbani.

Tukio hilo lilitokea katika eneo la Seme, Kisumu.

"Huyo boy ni buda ivi na alilala na mtoto wake, huyu mtoto sio wake ni wa kambo kwani mkewe aliingia kwa ndoa naye." Alielezea bwana Eric.

"Alimpiga kuni Mbusii kuruka ile hakuna. Hiyo stori walipeleka kwa chifu na waka solve nyumbani kwani hawakupeleka mbele. Alimpiga kuni dry dry na huyu buda anameza hizi tembe za ARVs na sasa unajua ameambukiza huyu mtoto wake ugonjwa na sio poa. " Alielezea Eric huku akiwashangaza watangazaji hao.

Pata tukio kamili.

&feature=youtu.be