22 May 2017 1 Min Read
Majambazi watatu wauawa na wananchi
by Yusuf Juma Habari
Washukiwa watatu wa ujambazi waliuawa na wanachi katika visa tofauti hapa jijini katika mitaa ya kibera, Jerusalem na kasarani.
Katika kisa kingine cha uhalifu, mlinzi wa usiuku aliuawa kwa kupigwa risasi na majambazi mtaani Ololua huko Ngong.
Mlinzi huyo alikuwa kijaribu kuwazuia majambazi hao kutekeleza wizi wakati alipouawa.