Polisi mjini Mwatate kaunti ya Taita Taveta wanachunguza kisa ambapo mwanafunzi mwenye umri wa miaka 17 katika shule ya upili ya Mwatate  amejiua kwa kujitia kitanzi kwa kudaiwa kukosa karo.

Kulingana na OCPD wa Mwatate Francis Mwangi, kijana huyo anadaiwa kujitia kitanzi baada ya mamake kukosa karo ya kumwezesha kumaliza masomo yake ya shule ya upili. Mwili wake umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya Moi mjini Voi.

View Comments