Kila siku ndani ya stesheni ya Radio Jambo waskilizaji zaidi ya milioni kumi hupata fursa murua ya kujieleza, kuburudishwa na cha muhimu kuelemishwa kwa mambo chungu nzima.

Na katika kipindi cha Mbusii na Lion Tekeke, wanajambo hupata fursa muhimu ya kufungua roho zao na kutoboa siri ambazo wamekuwa wamezificha kwa miaka na mikaka bila hofu ya ubaguzi.

Jamaa mmoja aliwashtua watangazaji Mbusii na Lion pamoja na waskilizaji alipofichua kuwa alimnyang'anya babake mzazi bibi, na isitoshe tayari amempachika mimba.

Kulingana na jamaa yule, alimtongoza mamake mdogo baada yake kudai kuwa bwanake hangeweza mtosheleza kitandani.

Pata uhondo kamili.

Soma habari zaidi kama hizi