pata pata

Duncan alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe bi Roda.

''Nilimtuma mke wangu anipelekee maji ya kuoga bafuni akasita mara tatu, nilikasirika nikampiga kisha akaondoka akarudi kwao' alieleza bwana Dan.

Wawili hao wamekuwa kwa ndoa ya miaka sita.

Pindi tu Roda aliposkia yuko hewani alikata mawasiliano yetu.

Aliposhika simu alisema kuwa hata Gidi wapige simu mara ishirini hakuna kitakacho mshurutisha warudiane.

"Mwambie Roda alisema kuwa awache kupitia pitia kwa watu wengine kwani akifanya makosa alikuwa pekee yake, staki kuzungumza naye kwani ana nambari zangu na anafaa anipigie simu. Mwambie yeye ni mwanaume na afanye kama mwanaume aliyekomaa anipigie simu kwani maneno ya kunipeleka kwa mtandao staki." Aliongeza.

&feature=youtu.be