gidi na ghost on idd(1)(1)(1)(1)(1)(1)

Peter na Sospeter ni ndugu wawili ambao walitofautiana kidog na mmoja wao anascandal nyingi za wanawake, hapendi kushika simu akihofia ataitishwa pesa.

Peter na Sospeter wameachana na miaka kama kumi, na wamehimizwa na familia yao waelewana kwanza.

Ilibainika kwamba hawa ndugu wawili walikosana baada ya kifo ya bibi mdogo.

Bwana Kihara alisumilia vile bibi ya ndugu yake aliaga dunia, wakaenda matanga na hapo mwisho wa bibi yangu akakataa kuenda mazishi.

'unajua hiyo si mara ya kwanza, maana nilipokuwa na girlfriend wa kwanza akona mtoto wake, nilimtuma Nairobi akaenda akalala na yeye akamzalisha'. 

'mpaka saa hii unaona yeye alikuwa na hawa bibi wawili bado akona watot wengine huko inje. sass mimi ndio naonekana namsaidia kupata hawa watoto'.

'nataka tupatane, kwasababu tumezaliwa ndugu wawili hivo yeye nikama baba yangu, so kila kitu ata hama at least ni makosa lazima tuelewane'. 

Je, ni wanawake walifanya wawili hawa wakosane? Skiza kanda