Kunasemkena kuwa mhanyaji ndiye anashuku mwenzake. Kweli rongo?

Bwana Steven basi ndiye aliyeibuka kuwa mhanyaji, kulinganna na bibi yake Maureen.

Bibi yake Maureen aliweka wazi

Steve na Maureen walikosana 2015, baada ya kukaa kwa ndoa miaka kumi.

Kisa na maana?

'Kutoka 2014 tulikuwa tunasumbuana kidog kidogo, hakuwa anatambua mimi ni bwanake kwa nyumba vitu anafanya yani kimadharau, nikamkalisha chini nikajaribu kumwongelesha ikawa ni ngumu nikaita babake tukatengana kidogo, tukarudiana last year mwezi wa nane nikapata numba ya jamaa fulani kwa simu yake ndio ikawa ikaleta shida zaidi, kufuatilia huyo ni nani akanidanganya na niliuliza dadake mkubwa akja kunisomea ikawa imeleta shida zaidi.

kutoka hiyo wakati nilimsomea bibi yangu, aliwacha kunishugulikia, Hii Januari, alitoka siku tatu na kurudi tukabishana tena.'

Gidi alimtafuta Maureen kupitia simu ili hawa wawili waweze kuongea. huku Maureen akimwelezea Gidi hicho steve alichofanya:akisema:

ameoa bibi hapo next na mimi plot yenye tumeishi na yeye madharau ananifanyia kama huyo bibi ako hapo 

huyo bib aliyekuwa ameoa ananionyesha madharau pia na huyo ni mtu amezunguka tuu ni malaya 

Uamuzi wa Maureen kuhusu Steve ni yapi? Skiza kanda