Maafisa wa polisi kaunti ya Bungoma wameanzisha uchunguzi kwa kisa ambapo mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka thelathini na mmoja ameripotiwa kuuwawa.

Wazazii wa marehemu wanashuku huenda mkewe mbaye wamekuwa wakizozania kushukiwa kuwa na mpenzi wa nje ya ndoa amehusika kwa kuwashirikisha watu wengine wasiojulikana.

Familia ya marehemu inayoishi katika kijiji cha Buema eneo bunge la Kanduyi, sasa inalilia haki baada ya mwanao wa kiume Ernest Wanyela mwenye kudaiwa kuawa na mkewe katika njia ya kutatanisha katika kijiji cha Kibabii.

Brian Ojamaa.

View Comments