Katika kitengo cha Panisho, yule ambaye angependwa kupatanishwa ni Jacqueline ambaye anasema alikosana  na bwanake Cheruiyot juu ya maneno ya watu na yeye Cheruiyot kuwa suspicious.

Jaquiline alituma SMS kwa Gidi akisema watu wanampigia simu na anaamini vile anambiwa.

'Na yeye saa zingine anakubali. Yeye hayuko nyumbani hautko na yeye ako kazi mbali sana. so anapigiwa simu na brother yake ama majirani wakimwambia maneno, labda siko nyumbani yenye ni uwongo.Na yeye anakubali, anaanza kunigombanisha kwa simu, ananipigia makelele. Na yeye huwa haniamini.

Na hii mambo ya kununa ilianza lini?

'Alitoka nyumbani three motnhs ago. sasa vile alienda kazi ndivyo alianza kunipigia simu aliniambia hio maneno. 

Wawili hawa wamekaa kwa ndoa miaka tatu na wana mtoto mmoja.

Cheruiyot na Jacqueline waliweza kuongea na kutoa hakikisho wanapendana sana, na ni watu wanajaribu kuwatenganisha.

Skiza kanda: