- 1881563(2)
- milimani.law.courts.history(2)

Kama vile waswahili wanavyosema kuwa siku za mwizi ni arobaini, lakini kwa wezi hawa watatu wanaoangaisha wananchi na kuwaibia magari zilitimia baada ya kukamatwa na DCI katika maeneo na Nairobi na Kajiado.

Mashtaka yao zimekusanywa kwa faili nne tofauti.

Walikataa mashataka mbele ya hakimu mwamizi mkazi Hellen Okwani (senior resident magistrate). Hakimu huyo huyo aliwaachilia kwa dhamana ya shillingi 600,000 na mdhamini sawa na kiasi kila mmoja.

Ama mengine wangeweza amana shillingi 200,000 kwa dhamana ya kila kesi imefailiwa na korti. Mshukiwa anaye husika alikamatwa maeneo ya Kirinyaga mwaka jana baada ya kuiba gari kisha kupatikana katika jumba lake.

Alikataa mashtaka alipokuwa katika korti ya milimani mwaka jana, DCI wa lang'ata chifu Samson Kiptum alisema kesi hiyo itajumuifu kwa kesi ya pamoja.

View Comments