- cleopas malala
- ShowImage.ashx
- health

Siasa za ubishi kati ya Seneta wa Kakamega Cleophas Malala na mtangulizi wake Bonni Khalwale zimewanasa wahudumu wa bodaboda, ambao sasa wanamtaka Khwalwale kuweka wazi ziliko zaidi ya shilingi milioni mbili unusu zilizochangiwa wanabodaboda mwezi Septemba mwaka jana na viongozi ambao walialikwa na Khalwale mjini Kakamega.

"Tulikubaliana kabla ya jambo mbaya kutendeka majaliano na makubaliano itafanyika ambapo jambo hilo tumefanya,

"Kaunti ya Kakamega imekubali kutulipa pesa zetu mwishoni mwa mwezi wa pili, na wasipo fanya hivo naakikishia wauguzi kuwa tutagoma," Alizungumza katibu wa wauguzi.

Katibu wa wauguzi kaunti ya kakamega Renson Lulunya, alisema wamepeana nafasi kwa makubaliano ya majadiliano na serikali ya kaunti kabla ya kuingia kwa mgomo.

View Comments