Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya upili ya wasichana ya butere katika kaunti ya kakamega amejitia kitanzi kwenye chumba cha kulala

Ocpd wa butere bonface lisiolo amesema mwanafunzi huyo aliacha arifa ya kuwa alijitoa uhai kwa sababu ya kuadhibiwa.

Muungano wa walimu knut katika kaunti ya kakamega unataka serikali kuweka fedha za kuwaajiri walimu na kuimarisha miundo msingi katika shule kama njia ya kufanikisha mpango wa asilimia mia moja ya wanafunzi kuwa shuleni
Mwenyekiti wa knut katika kaunti ya kakamega patrick chungani amesema mapngo huo huenda ukafeli iwapo fedha za kutosha hazitatengewa sekta ya elimu
Cyrus Akhonya