- 45351556_1917629758313726_3161702495671042902_n-768x961
- 50959434_1252191138277619_3142016687950120818_n
- Akothee
- image-2019-02-181
- Akothee
- 51633412_2161506913937260_1003268947118615530_n
- 50910777_133328334377740_2974705321000971986_n

Mwanamuziki ameweza kuwanyamzisha wakosoaji wake ambao wanamkosea kwa ajili ya mavazi anayovalia, na kusema kuwa kama wazazi wake wamerithishwa na mavazi yake hawezijisumbua na vile wakosoaji wake wanasema.

"Baba yangu ni shabiki wangu nambari moja, baada ya mama yangu kutonisaidia na kukataa mavazi yangu, mwishowe ameweza niunga mkono na kutuunga pia, na namshukuru Mola kwa kunipa wazazi ambao wananisaidia na kuniunga mkono,

"Mama yangu bado yuko na masuala na vile ninavyovalia, lakini wakati huu hakusema chochote wala lolote labda amechokaa. Ata nyinyi mtachoka tu sikomi mimi,

"Baba yangu anaishi maisha yake, baba usijali bora muziki unaweza kucheza, njia yote kutoka Rongo," Aliwaambia Akothee.

Zifuatazo ni picha za mwamuziki Akothee akicheza mbele ya mashabiki wake, kulingana na picha hizo zinaonyesha kuwa Akothee anafanya ambacho anapenda licha ya wakosoaji wake kumkosoa.

Huku mashabiki wengine na wengine kutomuunga mkono mwana muziki huyo hakujali ambacho walisema wala vile wanataka avae mavazi yake huku wengi wakiandika mtandao wa kijamii wa instagram.

Zifuatazo ni baadhi ya jumbe za mashabiki wake:

@juma_edgar...This is a clear indication of end times.

@markd7344u ..can never be a moral to anyone...shame..

@kennedymotari...As long as she got another dumb sheep backing her up, she will fight for her iPhone over android thinking it's right when the reality is just like day and night, it's a weird world we live in.

@charityskinsweetme ....swaga itabaki naipendaaaaa milele hata nizikwe

@imbenziwy...Awesome awesome awesome

@amayophelix...Baby na baby na, sent me that song sweety