Salim aliomba apatanishwe na mkewe bi Pendo ambaye walikosana baada ya kugundua kuwa ana mpango wa kando.

"Tulikosana na mke wangu last week but one alipogundua nina mpango wa kando.

Nimekuwa naye tangia 2016 nikiwa agent wa NASA pale Eldoret. Tulipoanzisha urafiki tukaamua kuhamia Mombasa ninako ishi, na sasa akapata kazi mahala pengine na akapatana na mzungu." Alisema Salim.

Aliongeza;

Akaniambia kuwa pale anatafuta pesa kisha baadaye awachane naye ili twende tukajengremaisha yetu. Mzungu aliporudi kwao akaniita alipokombolewa nyumba.

Baada ya mwezi mmoja yule mzungu akampigia na wakaanza kuzungumza mambo ya mapenzi na nilikasirika karibu nimrushe kwa ferry. Tulipowachana nikapata mwanadada mwingine.

Alipopigiwa simu bi Pendo, alishtuka kuskia hayo.

"Aki this boy is nuts! Holy Mary mother of God!" Alishangaa.

Yaani hata hakuna kitu naweza sema, hiyo ni nini unaenda kusema mbele ya watu and you know that is a lie! You know you are a mad man just back off me!." Aliongeza.

That boy I met him some years back tukakubaliana kama watu wazima tuwe na uhusiano, akawa mtu huwezi elewa mara ana wasichana. Ikafika mahali nikaona hatuwezi pelekana mahali juu zile vitu alikuwa ananifanyia." Alisema akiongeza kuwa yule mzungu ni rafiki yake na amekuwa akimsaidia.

&feature=youtu.be