- Beril Ouma
- Beril Ouma
- Beril Ouma

Ni mauaji ambayo yalitokea katika eneo la Kahawa Sukari ambapo mume anadaiwa kumuuwa mke wake Beril Ouma kwa sababu ya mgogoro wa kifamilia.

Polisi wameanza kuchunguza kiini cha kisa hicho ili waweze kumjua nani alimuuwa Beril, ni visa ambavyo vinatokea nchini mume kumuua mke ama mke kulipa watu waweze kumuuwa mume wake.

Carina Omwanda: Can’t believe you are gone rest in peace childhood friend
Deizie Doc: OMG is this true…..wayyy this is so sad…..am still shocked…
Miriam Namwaya: What is happening ooh RIP beautiful
Diana Aketch: It’s sad to hear you are no more my dear. Rest in Eternal peace Vengeance is for the Lord.