welcome

Kisa cha kushangaza kimetokea katika treni moja mjini Newyork nchini Marekani wakati ambapo binti mtalii kutoka Canada alikuwa anatembelea sehemu hizo kujivinjari alijipata katika matatizo na vyombo vya usalama.

Binti huyu alizaliwa bila uwezo wa kuona na hutumia mbwa kama mwelekezi wake anapotembea. Kutokana na mapenzi makubwa  aliyonayo, mwanadada huyu kwa mbwa wake, aliamua kumyonyesha na kitendo hiki kikawashangaza wengi katika treni.

Mila na itikadi huwa tofauti sana katika nchi tofauti. Inadaiwa kuwa mwanadada huyu kunyonyesha mbwa nchini kwao sio kosa ila sio jambo ambalo linaweza kufanya aingie katika matatizo na vyombo vya usalama. Abiria katika gari la moshi walionekana kustaajabishwa kwani kisa kama hiki ni kigeni sana marekani na kinahitilafiana sana na itikikadi za nchi hii.

Soma mengine hapa.

Katika kituo hicho cha treni, wanapolisi walitokea na kumtia nguvuni pamoja na mbwa wake. Binti huyu alikamatwa na wanapolisi kwa kukiuka sheria za marekani na pia kusababisha hali ya sintofahamu katika gari moshi.

Mbwa wake ambaye ndiye mwelekezi alimng’ata mwanapolisi mmoja katika harakati za kumtetea binti huyu. Msichana alionekana kukasirika sana na kuwafokea wanapolisi. Kulingana na sheria, vitendo kama hivi huenda akahukumiwa kifungo cha takribani miaka 17 au kiwango cha dola elfu 145.

View Comments