Jennifer alimkosea babake Philip baada ya kukosa kulipa mkopo wa millioni shillingi moja. Jennifer alimsihi Ghost kuomba  msamaha kupitia Redio Jambo kitengo cha patanisho.

Alisema, ' mimi na mzee wangu tulutembela babangu. Tulikuwa na kazi na tukaonelea kwamb a ni heri tukaongezee na nikaingia katika hii kikundi cha Kenya women hapo nikapewa loan ya one million na banangu ndiye ali nipea title deed yake juu tulukua tunachukuwa tunalipa vizuri .Sasa vnye tulichukuwa tukaendelea na kulipa kazi ya mzee ikaanza kuenda chini ikafika mahali ikashindikana kulipa loan na ikabidi babangu achukulie aendelee kulipa ndio alikuwa guarantor yangu. penye tulikuwa tumefika kulipa..

sasa ikakuaje?

sasa tulilipa lakini ikafika mahali iskashindika kulipa. 

walikuwa wamelipa ngapi?

kaa half a million. hii ilikuwa 2015-2016.

Babake Philip aliweza kuchukuwa simu na kusema

'alinikosea sana. Unau alaikuja hapa na bwanake akaniambia niko na shamba yahke nimpatie title deed achukuwe loan, Na nikaona ni watu wanendelea sana sasa nikawapatie hiyo deed na kwamba ni watot wangu siwezi wanyima.

wakaenda wa value title deed, na nikawasignia loan nikaweka signature kwa loan, hata hawakunipea ndururu. Huyo bwan yake alikuja tukaongea tukakosana kidoog, akaniongelea vibaya akaniweka blacklist. nilukuja ujua wameuza ploti na kenya women wakaniambia loan hailipwi na mimi ndio guarantor. nikajaribu kuwapigia lakini wame niblacklist. nilidanganya kenya women huyo kijana ni mgonjwa nikalipa 50,000. 

Doh!

Nakwambia hiyo pesa nimelipa yote 1.5million sasa wako free na nikawaambia wanichukulie title deed yangu. Mimi sina ubaya na yeye. 

Bi Jeniffer akiwa kwa lini ya simu aliomba msamaha huku akilia

Nilipita kwa redio jambo ndio nikuombee msamaha. Nilikuwa nasononeka sana saa siongei na wewe . Mimi nilitaka tuu kutoka juu mimi nina teseka sana Dad. Nilikuwa tuu nikuje nyumbani. 

Babake Philip

Kuja nyumbani nimekusamehe Niliandika message jana kama kuna shida niko na pesa acha niwapatie kile niko nacho nione vile itawasaidia lakini mnichukulie titel deed yangu.

Skiza kanda ifuatayo