karis na mtoto wake

Mwigizaji wa Churchill, Karis, amekuwa akimwonyesha mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii na hatungejizuia kumtamani jinsi anavyo pendeza.

Karis na mpenzi wake walimualika mtoto wao mvulana ulimwenguni Disemba mwaka wa elfu mbili kumi na nane.

Licha ya kuwa kwenye upeo wa mwamgaza, Karis ameamua kuweka sura ya mama ya mtoto wake fiche.

Kwenye chapisho moja ya awali, Karis aligusia kuwa aliepuka kutaja jina lake ili kuzuia 'ushindani'.

''Siku ya furaha ya kina mama mpenzi, ulinipa zawadi nzuri ya mtoto wa kiume.....Sitakutag juu ya mafisi wambea ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€๐Ÿ˜†๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‰''

Baadhi ya picha zilizotuwacha tukishangaa Karis amekuwa akificha ujuzi wake wa kulea mtoto zi hapa chini.

Tazama maono ambayo mashabiki walitoa, yatakayo kuvunja mbavu kwa kicheko.

iam_tonny_:ย Eeeh kwanza midomo siulizi ni ya naniโ€ฆ Kameachilia ile design ya Wambilianga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

afri_queen3:ย You have the cutest baby ever, Mashallah ๐Ÿ™๐Ÿผ & his always happy๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ

energy_254:ย anapiga smiro identical dna confirmed mzito๐Ÿ™Œ

je.nn428:๐Ÿ˜˜abujubuju

loadappp:ย Hizo ni short fired while tipsy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

sandra_kates_lopez:ย Akikohoa uitike uache kukua allogant

_scoffie:ย @kariscomedianย na usiweke mtoto matuta,ntafunga yo kiosk na ni fungue ingine next..Nky..๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜… big up boy..nic

View Comments