Gari la kasisi wa MERU (

 Kasisi mmoja wa katoliki huko Meru ameuawa kwa kudungwa kisu na mtu asiyejulikana .

Mkuu wa polisi wa imenti kaskazini Robinson Mboloi   amesema  kasisi huyo aliaga dunia papo hapo kwa kupoteza damu nyingi .

Kiini cha shambulizi hilo hakijajulikana  lakini watu wawili waliokuwa wakilewa naye wamekamatwa ili kuwasaidia  katika uchunguzi wao .

 

View Comments