- WhatsApp.Image.3
- WhatsApp.Image.4
- WhatsApp.Image.1
- WhatsApp.Image.2

Tovuti kadhaa za serikali ikiwemo ile ya mfumo wa serikali wa kifedha IFMIS jana zilidukuliwa na kundi moja la uhalifi wa mitandao kutoka nchini Indonesia.

Wadukuzi hao waliweka nembo zao katika kurasa zote za tovuti hizo kuonyesha kwamba walikuwa wameziteka nyara.

Wahandisi na wataalam wa maswala ya mitandao nchini wanaendelea na juhudi za kukomboa tovuti hizo na kurejesha hali ya kawaida.

Wadukuzi hao walikuwa wameitisha kikombozi kurejesha hali ya kawaida.

View Comments