crime

Wakaazi wa mtaa wa Joska, Machakos walipata maonyesho ya sinema ya bure baada ya kisa na ambapo jamaa mmoja mfanyabiashara alipatikana amekwama katika uke wa katibu wake kipindi na ambapo walikuwa wanajipa burudani ofisini.

Soma hapa:

Bibiye jamaa huyu alikuwa anapata ubuyu kuhusu jinsi bwanake anavyochepuka na binti fulani ofisini. Kando na cheche za ubuyu wa majirani, bibiye alianza kuona mabadiliko ya tabia ya bwanake kama kuja nyumbani masaa ya usiku  na wakati mwingine kukesha nje na kuja nyumbani siku inayofuata.

"Tulikuwa na mzozano na bwanangu kuhusu yeye kuja nyumbani kama amechelewa. Alianza kuchelewa sio kama awali.  Iwapo angechelewa angepiga simu na kunieleza." alifunguka bibiye.

Bibiye alijanjaruka na kujua atamwendea kwa mganga ampe dawa mujarabu ya kumnasa bwanake.Dawa hii ilifanya kazi kwani baada ya siku mbili alipigiwa simu na watu walioshuhudia kisa hiki mubashara.

Pata uhondo hapa;

"Siku mbili zilipita na nikaanza kupigiwa simu zaidi ya ishirini nikielezwa kuwa bwanangu amekwama ndani ya mwanamke ofisini. Nikafika pale na kupigwa na butwaa zaidi."

Bwanake aliomba msamaha na kusema kuwa atamfuta kazi katibu huyo na baadaye bibiye akapigia daktari wake wa mitishamba na kumwambia jinsi atakavyowafanya huru.

"Daktari wangu alisema niwamwangie  dawa fulani alikuwa amenipa na wakawa sawa." alisimulia mkewe.