Mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Nairobi Esther Passaris hajafurahishwa na watu ambao wamekuwa wakimshambulia kwa wiki moja iliyopita.

Siku ya Jumanne, Passaris alitafuta usaidizi wa watumizi wa Twitter kupata washukiwa waliokuwa wameweka mitandaoni picha bandia akiwa kitandani na Gavana Mike Sonko.

Martha Karua alisema kwamba tabia za Sonko hazikubaliki kamwe.

The Star

View Comments