- Happy_moment_as_Diamond_Platnumz_meets_his_father_Abdul_Juma-min
- xelufwd969n5hw0k5cbff4ecd6463

Babake staa na fundi wa muziki Afrika nzima Chibu Dangote atakuwa anadondosha burudani miongoni mwa mastaa wengine Tanzania katika hoteli ya Itungi usiku wa leo tarehe 21. Babake Mondi amekuwa kifua mbele kuzamia katika tasnia ya muziki baada ya kuona mwanawe akivuna makubwa katika muziki wa Bongofleva.

Soma hadithi tofauti hapa:

https://www.instagram.com/p/By8FynVg6dp/

Mkurugenzi wa WCB Diamond Platnumz na ambaye ni mwanawe Mzee Abdul walipatana juzi kati katika studio ya Wasafi FM na kuonekana kuzima tofauti zao za awali. Abdul aliomba msamaha mwanawe kwa madai ya kuwatelekeza yeye na Bi. Sandra Sanura Kassim.

Soma hapa hadithi nyingine:

 Kukutana kwa wawili hawa kunaonekana kulifanya ili kuzima bidii za vyombo vya habari nchini hum kukuza uadui kati ya baba na mwanae. Babake Diamond Platnumz kwa sasa anatamba vizuri na ngoma hatari inayokwendwa kwa jina Unanijua akimshirikisha Chada Boy. 

Tazama hapa:

Babu Tiffah pia ameweza kuzama studio na kudondosha ngoma kama Umeniteka ambayo inafanya vizuri katika mtandao wa kijamii.

Tazama hapa: