- ETHIOPIAN TV Image caption Gen Seare Mekonnen's death was confirmed by TV channels
- REUTERS Image caption Prime Minister Abiy has been in office for just over a year

Mkuu wa majeshi nchini Ethiopia,Jenerali Seare Monnen, ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

''Jaribio la mapinduzi mjini Amhara ni kinyume cha katiba na chenye nia ya kuharibu amani ya eneo hilo,''ofisi hiyo iliongeza.

''Tukio hili linapaswa kukemewa na raia wote wa Ethiopia na serikali ina uwezo wa kupambana na kundi hili lenye silaha.''

Taarifa ya Emmanuel Igunza BBC

View Comments