lindaogutu

Mwanahabari wa KTN Lindah Oguttu amewaacha wafuasi wake wa twitter wakiwa wamechanganyikiwa baada ya kusema kuwa anataka 'kuni' ya kumsaidia kupiga baridi ya Juni.

Kulingana na yeye baridi ni nyingi mno.

Uchapisho wake unasoma,

Mtu anisaidie na kuni imekauka kapsaa. Hii baridi imezidi, makaa na heater haziwezi.

Neno 'kuni' ni jina la utani linaloashiria viungo vya siri vya mwanaume. Wakenya walifurahi kujua kwamba wanaweza kumpa Linda kifaa kinachosambaza joto hata kama ni kwa muda mfupi tu.

Baada ya kutambua athari za shabiki wake Linda alijibu

Lakini wakenya mko na ufala. Bure kabisa.

Haya ni baadhi ya maoni kutoka wakenya.

NA HII KISWAHILI YA KENYA HAPA AKILI ZIMEHAMA KUTOKA CAIRO MPAKA CAPE TOWN.

Mwingine akasema,

SI UTAVUNJA HIO KUNI NA HIZO HIPS YAWA!
View Comments