Ajabu sana! Robert Burale na kakake wa Insta hatimaye wakutana
Visa vimekuwepo vya watu wanaofanana kama shilingi kwa ya pili katika mitandao ya kijamii. Juzi kati Sharon na Melon walikutana katika mtandao wa Facebook na story kutanda kila gazetini nchini kuwa wafanyiwe msimbojeni tuone matokeo. Sasa kasisi Robert Burale kisa kimefanyika kama chake kukutana na Male Fashion Greek jamaa na ambaye wanafanana zaidi.
Soma hapa hadithi nyingine:
Mhubiri Robert Burale alijawa na furaha zaidi na kuchapisha ujumbe huu katika insta.
"With my brother ..The Lord is gracious. We met on Instagram then the good Lord orchestrated this meeting. Either he is Kenyan or I am Jamaican. WAGWAAAAAN . & thank you for the merchandise. Well received. "
https://www.instagram.com/p/BzPfdGVFa7z/
Tunakusogezea picha hapa chini ujilie utamu na utofautishe kati ya kaka hawa:
Soma hadithi nyingine: