- leicester kit
- southampton.kit
- arsenal
- man u kit
- bournemouth.kit
- liverpool.kit
- chelsea (1)

Jumatatu timu ya ligi kuu ya Uingereza, Arsenali waliwaacha mashabiki wao na furaha chungu nzima baada ya kuzindua jezi yao maalum ya Adidas, baada ya kukamilisha mkataba wao dhidi ya Puma.

Mkataba huo kati ya Adidas na Arsenal unaaminika kuwa wa pauni milioni mia tatu na timu hiyo ya North London itakuwa inapokea pauni million sitini kila mwaka.

Arsenali walifuatwa na Manchester City ambao pia walizindua jezi zao za Puma, baada ya kutia sahihi mkataba wa pauni millioni 650 kwa kipindi cha miaka kumi. Man City walimaliza ushirikiano kati ya na Nike msimu uliopita.

Timu zingine ambazo tayari zimezindua jezi mpya kabla ya msimu mpya wa 2019/20 ni Chelsea, Man United, Tottenham na zinginezo.

Lakini je, kati ya jezi hizi zote mpya, ni timu gani ambayo ina jezi bora zaidi? Tunakagua baadhi ya jezi hizi kwa mujibu wa zilizo bora zaidi.

  1. Leicester City

2. Arsenali

3. Southampton

4. Manchester United

5. Bournemouth

6. Liverpool

7. Chelsea

8. Tottenham