- nadia-mukami-341
- Nadia-Mukami

Nadia Mukami amewafokea mashabiki watukutu wakenya nchini Kenya. Mukami anayetamba na kibao 'Radio Love' aliwakashifu mashabiki wanowadhulumu wanamuziki wanapofanya kazi yao. Siku ya Ijumaa, Mukami alikuwa maeneo ya Eldoret, chuo kikuu cha Moi.

Hatahivyo,M,Mukami alipatana kisa ambapo shabiki mmoja alijaribu kumrekodi sehemu zake za siri kwa kutumia simu yake." Kukami alipatana kisa ambapo shabiki mmoja alijaribu kumrekodi sehemu zake za siri kwa kutumia simu yake." Kuna mwanaume mmoja alijaribu kuweka simu yake katikati ya miguu akijaribu kunirekodi ila nikajua haraka na hivyo kumzuia."

Kwenye mtandao wake wa instagramu, Mukami aliwashukuru mashabiki wa kikenya kwa mapenzi yao kwake licha ya tabia hizo ndogo ndogo zilizopotoka."Ilikuwa furaha kweli kweli.Leo nimejua kuwa mji wa Eldoret unalo penzi kwangu."

Hatahivyo, Nadia alimshukuru mamaye aliyempa ushauri wa kuvaa nguo refu kila wakati anapofanya show."Mamangu alinieleza nivae Mbaika kila wakati kwa ajili ya tabia kama hizi. "

Kwenye kisa kingine, wakali wa panda walipigwa kwenye sherehe za koroga.

View Comments