- 61909803_2053427178293315_3547063558726949585_n (1)
- Makena.Njeri.screenshot
- WhatsApp-Image-2019-07-09-at-12.51.56-PM-1
- WhatsApp.Image.2019.07.09.at.12.51.56.PM
- makena pose

Makena Njeri ni mada ya wiki kwa sababu ya picha ambazo zimekuwa zinazunguka kwenye vyombo vya habari vya kijamii.

Inadaiwa na blogu nyingi kuwa Mercedes Benz yake iliharibiwa na mpenziwe.

'Makena cheater' hivyo ndivyo gari lake liliandikwa na rangi nyeusi.

Madai hayo ni kwamba alikuwa anamcheza mpenzi wake. Makena amekuwa kimya kwa muda juu ya kashfa hio lakini ameongea sasa. Aliweka Instastory na kusema,

 
I feel like I’m in season 5 of my life and the writers are just making ridiculous sh*t happen to keep it interesting.
(Nihisi kama niko katika msimu wa 5 wa maisha yangu na waandishi wanafanya mambo yawe ya kuvutia)
Maneno haya yanafanana na yale aliowaambia watangazaji wetu alipopigiwa simu.
Alikata uvumi ule na kudai kuwa hajui chochote kuhusu gari lake kuharibiwa lakini nambari ya gari yake inaandamana na gari iliyoharibiwa.
Wakenya wengi walikwenda kwenye ukurasa wake wa Instagram ili kuyatoa maoni yao juu ya kashfa hio.
Baadhi ya maoni yaliyotolewa,
xtiankaby; Hope you are well.. Don’t mind the Drama you are strong
wakandanz; Welcome to team mafisi…we welcome you with open arms…
coolest_madness; The open face of cheaters 😂😂😂