Picha mwanamke (1)

 Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 39 huko Nambale katika kaunti ya Busia anauguza majeraha mabaya baada ya mumewe kumuuma mdomo wake wa chini na sikio la kushoto kufuatia ugomvi wa kinyumbani .

Polisi katika eneo hilo wamesema wanachunguza tukio hilo ili kufahamu kilichosababisha jamaa huyo kumtendea mke wake unyama huo . Kisa hicho na hivi punde cha ukatili wa kutamaushwa dhidi ya wanawake baada ya msururu wa visa vya mauaji vya wasichana na wanawake nchini .

View Comments