Uhuru at the Waiguru's wedding

Rais Uhuru Kenyatta hapo jana alizungumzia marufuku ya kampuni za michezo ya bahati nasibu na kusema kuwa zinafaa kulipa ushuru.

"Gambling, we want to get that money so that our children can use it in sports and culture. Gambling is not for children, and also, some money should be given to the government. Tax." Uhuru alisema.

Matamshi yake yanajiri huku baadhi ya kampuni hizo zikiwa katika hali ya mvutano na serikali kuhusiana na leseni zao kufutiliwa mbali.

Kampuni hizo zimeishtumu serikali kwa kubaliana na swala hilo kinyume cha sheria kwani wamekuwa wakiendeleza baishara zao kwa kufuata taratibu zinazofaa.

The President was speaking during Kirinyaga Governor Anne Waiguru's Ngurario ceremony in Kerugoya.

Rais alizungumza huko Kerugoya wakati wa harusi ya gavana Anne Waiguru

Rais na mwenzake Raila Odinga waliwahimiza wakenya kufuata nyayo za gavana Waiguru na wakili Waiganjo katika kihifadhi tamaduni zetu.

"We are here to keenly look at this. I have never gone for a Ngurario of old people. I was wondering where I would sit. I am happy that we are embracing our culture," Rais alisema.

Aliongeza kuwa mambo yanawaendea mrama wakenya wengi kwa sababu wengi wao wamesahau mila na desturi zao.

"We have embraced the wazungu culture and that is why our society is collapsing. People are no longer respectful to each other. You think you are better than the rest," alisema.

Aliendea na kusema; "Some of you speak English but they don't know where that language originated from. It is our responsibility to embrace our cultures."

Raila vile vile aliwasifu Waiguru na mumewe kwa kutosahau mila na desturi za jamii yao.

"The white have tried to wash away our culture but Kamotho and Mumbi have shown that they still embrace the culture,"  Raila alisema.

Raila ambaye pia alikuwa waziri mkuu wa zamani aliwaomba Waiguru na Kamotho kufanya kazi pamoja na kushirikiana ili kuhakikisha wanafaulu maishani.

"They both understand life very well and so they will be happy. I know they will have a good life because they are mature enough to understand life. I urge all Kenyans to follow their example," Raila alisema.

IMESTAFSIRIWA NA TINA MWAMBONU

View Comments