17 July 2019 1 Min Read
Hatutapumua sasa! Vera Sidika aonyeshana mpenzi wake mpya
by yvonne Ngugi Habari
- vee (1)
- 62365636_525193258020862_6545298653365588006_n (1)
- Jimmy-Chansa-Vera-Sidika-bae1-600x598
- Jimmy-Chansa-Veras-bae
- mfgldozsfwdkh5d2c205f0b272
Vera Sidika anauhusiano wa kimapenzi na daktari mtanashati aitwaye, Jimmy Chansa.
Wawili hao wanakula na kunywa pamoja kuanzia kiamsha kinywa, hadi chajio na kushinda pamoja.
Vera Sidika anaonekana kuwa ameendelea na maisha yake ya kimapenzi baada ya kuachana na mwimbaji Otile Brown aliyekuwa mpenzi wake wa hapo awali.
Siku ya jana wawili hao walienda kufurahia siku yao pale Two Rivers Mall.
Baadhi ni picha za wawili hao