- mary-kilobi-7
- francisatwoliandmarykilobi

Mke wa nne wake katibu wa COTU Francis Atwoli, Mary Kilobi alisherehekea siku yake ya  kuzaliwa hio jana.

Mwanahabari huyo wa runinga ya KTN alifunga pingu za Maisha na bwana Francis Atwoli mwaka uliopita.

Mary kwa sasa yuko visiwa vya Seychelles kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Francis Atwoli alisherehekea siku yake  ya kuzaliwa mwezi uliopita na siku hio mpenziwe Mary alimwadikia ujumbe wenye furaha.

"Mwenyezi Mungu na azidi kukubariki,kukupa nguvu,furaha na afya bora.Akuneemeshe kwa kukuchunga kwa ajili yetu.Unapendwa ajabu. Happy Birthday Mr. Amazing."