67726867_479353406200646_373601209015006599_n (1)
Zari Hassan anasema uhusiano wake na mwimbaji Diamond Platnumz ulikuwa wa kudanganya na kukoseana heshima.

Aliendelea kusema

Wanaume wanadanganya kila wakati lakini Naseed (Diamond), alifanya hivyo kwa dharau nyingi. Aliwaleta wanawake wengine ndani ya nyumba yangu kwa kitanda changu ninachoshiriki na watoto wake, na hakutumia kinga. Heshima haikuwepo.

Alisema kuwa Diamond hajazungumza na watoto wao kwa muda mrefu.
Sijazungumza na Naseed kwa miezi tisa na miezi hiyo, hajawaona watoto wake. Wakati niliachana naye, nilimuacha tu lakini sikumkataza awaone watoto wake.
Alisema mumewe ameungana vizuri na watoto wake watano.
Soma mengi