29 July 2019 1 Min Read
'Ulinifanya nitulie kama maji ya mtungi,' Diamond Platnumz asema
by yvonne Ngugi Habari
- tanasha1 (1)
- tanasha2 (1)
Diamond Platnumz anafanya kila kitu ndani ya uwezo wake kuthibitisha mapenzi yake kwa mpenzi wake, Tanasha Donna.
Diamond alisema kuwa Tanasha alibadilisha maisha yake na sasa ako tayari kuanza maisha naye.
Siku ya Jumamosi, Tanasha alichapisha picha yake kwa mtandao wa Instagram akisifu anayemsonga nywele zake, naye Diamond alijibu kwa kusema kuwa Tanasha anamfanya atulie.
Roho yangu mie... Ulienifanya nitulie kama Maji ya Mtungi......💧💧💧❤️
Aliendelea kusema kuwa anaangazia kuwa mwaminifu kwa Tanasha, ambaye anatarajia kupata mtoto wake.
Soma mengi
https://www.instagram.com/p/B0bZfGrg9FL/