The ministry of education message

Wizara ya elimu  imeahirisha  kufunguliwa kwa shule   zote kwa muhuma wa tatu kwa wiki moja .

Arifa iliyotumwa na wizara ya elimu  kwa wadau wote wa sekta hiyo  imeonyesha kwamba shule sasa zitafunguliwa tarehe mbili septmba na  kufungwa Oktoba tarehe 25 mwaka huu .

kulingana na wizara hiyo hatua hiyo imechukuliwa ili kufanikisha zoezi la sensa kwani tarehe za zoezi hilo za 24 hadi 25 agosti zilikuwa zikikinzana na tarehe ya kufunguliwa kwa shule .

View Comments