25 August 2019 1 Min Read
Uhuru na Sabina Chege Wawasimua wakaazi katika maazishi ya John DeMathew
by Geoffrey Mbuthia Habari
Rais Uhuru Kenyatta amewaongoza wakenya kusherehekea maisha ya msanii John De mathew aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 52 .
Mwanamuziki huyo wa Benga aliaga dunia agosti tarehe 18 katika ajali ya barabarani kwenye barabara kuu ya Thika . Hafla ya maazishi ya de mathew ilifanyika jumamosi katika shule ya msingi ya Githambia ambako viongozi wa kisiasa kutoka eneo la kati waliandamana na rais Kenyatta na Naibu wake William Ruto kwa maziko hayo.
baadaye Sabina Chege mwakilish wa akina mama wa Murang'a alialikwa jukwanai kucheza baadhi ya nyimbo za marehemu De mathew baada ya rais Kenyatta pia kusakata ngoma jukwani .
Tzama picha za hafla hiyo