- wanjiku 1
- wanjiku.8
- wanjiku.10
- wanjiku 6
- wanjiku.7
- wanjiku 5
- wanjiku.2
- wanjiku 9

Mcheshi Teacher Wanjiku, si binti 'mshamba' kama ambavyo watu wengi hudhania bali ni kidosho ambaye urembo wake umevutia wengi.

Teacher Wanjiku anaonekana kama kivutio na kio cha wasichana wengi kwani mwili wake na nguo anazovaa zimewavutia wengi sana.

 

Kupitia mitandao ya kijamii, Teacher Wanjiku alisema akikua, hakuwa anaipenda miguu yake.

“GROWING UP NEVER HAD CONFIDENCE WITH MY LEGS,” ALISEMA.

Hata hivyo binti huyu anaonekana kuipenda miguu yake na hata kuvalia nguo inayo onyesha miguu yake.
Zaidi ya hayo, teacher Wanjiku ni baadhi ya watu wanaojulikana ambao hawana ma scandal na bado hupata pato nzuri kupitia kwa vipindi vya mumu humu nchini.

Teacher Wanjiku, mama ya mtoto mmoja, alifunga pingu za maisha na mpenzi wake bwana Victor Ber mwezi wa kumi na mbili mwaka wa elfu mbili kumi na nne.
Picha za mcheshi huyu zilionekana kupitia kwa mitandao ya kijamii na wengi walibaki wameduwaa kwani Teacher Wanjiku amerembeka!
Tazama picha zifuatazo