- rue baby
- rue baby 2
- baby rue 3

Methali Damu ni nzito kuliko maji ni methali ambayo, Akothee mwenyewe haielewi kwani, bali na kuwa na maneno makali kwa watu ambao si jamaa zake, Akothee hutoa maneno yayo hayo kwa watoto wake pia.

Kupitia mitandao ya kijamii, Akothee alimuanika binti yake mmoja kwa kuchelewa sana usiku. Mwanamziki huyu aliyejulikana kwa wimbo wake ''Sweet Love'' aliandika kwenye mtandao wa kijamii,

''I AM STILL WAITING ON THE COUCH 🤔🤔🤔 MAYBE SHE THOUGHT I STEPPED,OUT 😲😲 ATIMRA GI NYATHINANI NADE JOWADU ?''

Baada ya saa chache, Binti yake Rue Baby aliweka picha kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram na kujieleza kuwa alikuwa ameenda kwa kinyozi kutengeneza nywele yake.

Hata hivyo, mama yake hakutaka kuelewa alichosema.

''THIS RUBBISH CANT TAKE THE WHOLE DAY MY FRIEND ! I AM MUCH OLDER THAN YOU ! JUST SLEEP AT THE BARBER DONT COME CLOSE TO ME COZ I WILL SHAVE IT FOR SURE.''Akothe alisema.

Mashabiki wa akothe nao, waliandika ujumbe ufuatao :

feisalsalim254

It’s Saturday, the queues are long at the barber shop😂😂

gal_baibe

😀😀😀😀😀haaaaaayyaaaaa Rue baby leo kitaeleweka

hotcoffee_tmz

@rue.baby leo ukae tu huko ikiwezekana uolewe na usirudi tena 😆

shanhavenhair_ke

😂😂😂 I hope si @rue.baby…kama ni wewe ukirudi home upitie ya nyuma ukikanyanga ndogo ndogo na ukuwe umesongwa sangita packet sita kwa kichwa 😂😂…otherwise @akotheekenya 😀😀

shiku_kym

She said sin now apologize later…..She went to get some relax madam boss…

evanyakoa

@rue.baby am not saying anything but rudi nyumbani Mami

its_lilw

“Chukua suitcase zako huko mololin e nimekutumia…na usirudi kwangu tena”….that was my mother years ago 🤣😂🤣😂🤣 ….being in your 20s is the worst part of adulthood

faith_deche_noble_lady

🔫🔫🔫🔫@rue.baby please call police before u step in that empire coz the lioness @akotheekenya is waiting for u 🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣