Kijana mkenya aliyepotea apatikana baada ya usaidizi wa Roma
Kijana mkenya aliyepotea apatikana na kurudi kwao baada ya picha yake kuchapishwa kwenye mitandao ya kijamii ya timu ya Italia ya AS Roma.
Picha ya kijana huyu aliye na miaka kumi na mitatu (13) iliwekwa pamoja na picha ya Henrikh Mkhitaryan mchezaji aliyejiunga nao msimu huu kwa mkopo kutoka Arsenal.
Roma ilianza kampeni hii, mwezi wa saba
Henrikh Mkhitaryan
✔@HenrikhMkh
What a great news
AS Roma English
✔@ASRomaEN
Brilliant news!
klabu hii ya Arsenal iliungana na kampeni za kutafuta watoto waliopotea nchini roma mwezi wa July.
children missing in Kenya
Henrikh Mkhitaryan alifunga mabao 4 kwa 2 siku ambayo mtoto huyu aliyepotea alipatikana.
Wakati ambao kundi hili la kutafuta watoto lilianzishwa, mkubwa wa Roma alisema kuwa wanataka kutumia mitandao ya kijamii kutafuta watoto kwa sababu ujumbe katika mitandao za kijamii husambaa kama moto nyikani.
"We want to use the viral nature of social media transfer announcements to help raise awareness for missing children."
''