emmy-32
Mwanamziki bomba wa nyimbo za injili Emmy Kosgei na mpenzi wake Anslem Madubuko wameonyesha mapenzi yao wazi wazi kwani kila mara wao hupeana maneno matamu ya mapenzi.
Bwana na Bi Madubuko huwa kama nyota kwa watu wengi na wafuasi wao huwaita Mum na Dad kwa sababu ya vile ambavyo wao hufanya mambo yao kama vile kuwapa mawaidha watu na hata kuomba.

Emmy Kosgei na mumewe  ambaye ni mhubiri wa kanisa la Revival Ministries walisherehekea ukumbusho wa miaka mitano ya ndoa yao mwezi wa nane mwaka huu.

Hivi juzi, shabiki mmmoja kwenye mtandao wa kijamii alimkashifu Emmy Kosgei na kusema kuwa Emmy huwa anazungumzia mume wake si mchana, si asubuhi, si usiku.

''THE ONLY THING YOU CAN TALK ABOUT ALL THE TIME IS YOUR HUSBAND EEEISH! GIVE US A BREAK.'' shabiki aliandika kwenye mtandao wa kijamii.

Hata hivyo, Emmy Kosgei alijibu na kusema kuwa, hakuna kikomo ambacho atawapa watu. Aidha atazidi kuzungmzia mume wake kila kuchao.

''NO BREAKS MY DEAR LET ME TALK ABOUT HIM ON MY WALL.''

E

Zaidi ya hayo, Emmy na mpenzi wake Madubuko wamekuwa wakionyesha mapenzi yao waziwazi na hata mwezi wa saba mwaka huu, Emmy alifunguka wazi kwenye mtandao wa kijamii na kuandika ujumbe mtamu sana uliosema,
IT’S MY HUBBY’S BIRTHDAY DAY! HAPPY BIRTHDAY MY DARLING… THE MOST WONDERFUL HUSBAND ANY WOMAN WOULD ASK FOR! A FATHER TO MANY, APOSTLE TO THE NATIONS… I LOVE YOU.
I CELEBRATE YOU TODAY AND ALWAYS … TO MANY MORE YEARS OF GRACE AND IMPACT. YOU MEAN EVERYTHING TO ME, YOUR PRESENCE IN MY LIFE HAS CAUSED A SHIFT, IT’S A BLESSING FULFILLING DESTINY WITH YOU.

I’M WISER, I’M BETTER, I’M SO GRATEFUL FOR EVERYTHING AND ALL YOU DO FOR ME… I WISH YOU NOTHING BUT LONGEVITY, HEALTH AND WEALTH.

LET YOUR OIL CONTINUALLY FLOW AFRESH. MAY GOD GRANT YOU YOUR BIRTHDAY WISH TODAY. ''

Ama kwa hakika, mapenzi  ni matamu!