tanasha donna

Tanasha Dona aliweka picha zake kwenye mtandao wa kijamii si moja bali picha mbili akionyesha wazi vile ambavyo mwili wake unafanana pindi tu baada ya kujifungua.

Kina mama wengi hupitia makuu wakijaribu kupunguza ufuta ukujao baada ya kujifungua lakini ni kama vile Tanasha hakupitia makuu hayo.

Hebu tazama picha za mrembo huyu baada ya kujifungua.

Aisee, ni wazi bayana kuwa kuna mabinti walioumbwa wakaumbika.