- jACqu-Maribe-and-friends
- 69642554_10156214719357455_5939297934750253056_n
- 7bbb6c1d-cad8-447e-b913-2df8b7c5c842_0

Aliyekuwa mtangazaji wa runinga ya Citizen Jacque Maribe yupo freshi baada ya kutemana na kituo hiki.

Mama huyu wa mtoto mmoja aliitema runinga hii miezi michache iliyopita.

Hata hivyo Maribe ameonekana mara kwa mara kwa sehemu za burudani.

Juzi kati akitokea katika klabu cha 1824 ambapo alikuwa ametokea kama mgeni.

Soma hadithi nyingine:

Jana alionekana kwa ukaribu zaidi katika sehemu ya burudani inayoitwa Road House karibu na Kilimani.

Maribe alikuwa ameandamana na marafiki wake akiwemo ripota wa kituo cha Citizen Stephen Letoo.

Wawili hawa wana urafiki wa karibu sana na baadae Letoo akachapisha ujumbe mtamu zaidi kwake.

"Kla rafiki anawakilisha sehemu kubwa kwetu kiasi cha ulimwengu mzima. Ulimwengu na ambao haujazaliwa mpaka wafike. Na ni katika mkutano huu ambapo ulimwengu mpya unazaliwa..."

Soma hadithi nyingine:

Letoo ni kati ya marafiki waliosimama kidete na Maribe baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuhusika mauaji ya Monica Kimani.

Baadaye aliachiliwa kwa dhamana na aliyekuwa mpenzi wake Jowie.

Jina lanyota huyu lilipakwa tope na madai ya kuhusika katika mauaji ya mfanyabiashara Monica Kimani.

Maribe alisaini kumaliza mkataba wake na runinga ya Citizen kile alichokitaja kama “sababu za kibinafsi.