Kwani ni mapacha? Kutana na watu mashuhuri wanaofanana na Wahu Kagwi
Msanii aliyekuwa akitumbuiza kwa nyimbo za kidunia kabla ya kubadilisha maisha yake na kumgeukia yesu, Wahu Kagwi amekuwa akiwatumbuiza mashabiki wake kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.
Wakati huu sio kwa wimbo mpya wa kumsifu mungu wala ujumbe na matukio kuhusu familia yake na bwanake ambaye pia ni mwanamziki, Nameless. Ila alifanya vile kwa kuchapisha picha za marafiki zake na wanadada maarufu (na pia kijana mmoja) ambao anahisi kana kwamba wanafanana.
Kwa kila picha Wahu alijilinganisha kwa kutafuta kitu ambacho wanafanana, iwe meno, mdomo, tabasamu na pia nywele.
Tazama baadhi ya picha na ujumbe aliotumia,
- I think I found my smile twin! ππ only she has more teeth than me π. I love itΒ Β .
Good night & God bless
https://www.instagram.com/p/B4dLIjGgpVA/
2.Β For real though? π my Male hair twin?
https://www.instagram.com/p/B4ezfo3AsjN/
3.Β I think this one is real blood sister! π³π mnaonaje?
https://www.instagram.com/p/B4f0BTog2i1/
4.Β me and my blonde twinΒ Β πππ. If only we were body twins too! πππ
Β
Meanwhile fam.... thank you so much for 1MILLION. I'm humbled ππΎππΎππΎ
https://www.instagram.com/p/B4jz1PNgGuK/
5. Happy Friday fam! from me and radio queen twin sister @theemwalimurachel πππ
#issafamilythingβ€οΈπ― #wahutwinningweek
https://www.instagram.com/p/B4l6PdMAkfe/
6. Watu wetu! ... here is our long lost sister! πππ. D'you see the family resemblance?
I've really enjoyed this twinning week! Thank you to all the gorgeous women who dm'd me their pics!
Happy Saturday fam!
https://www.instagram.com/p/B4o4KDyg80I/