- vera-sidika-thirst-trap1-480x600
- sidikss

Kidosho Vera amerudi tena kwenye mitandao yaani, binti huyu yuko tena kwenye mitandao ya kijamii akitingisha vichwa vya habari kuhusu anavyo tafuna maisha.

Mrembo huyu alifunga safari kwenda Dubai!Mji maridadi na madhari ya kuliwaza mtima ambao wengi wetu hutamani sana kufika.

Vera anatakiwa kukutana na rafiki zake kule Dubai ili waweze kujiburudika pamoja.

Alipiga picha akiwa Dubai, picha hiyo ilizua mihemko mitandaoni kutokana na ombo lake la kupendeza, aise.

Amini usiamini kidosho huyu amevunja shingo za wengi ukizingatia uzuri wake na kuwacha wengi wakibubukwa na mate.

Tazama picha na usadiki nami kuwa binti Vera ni katoto hodari.

Mhariri: Davis Ojiambo.

View Comments